Msaada custom rom for samsung i8268

Msaada custom rom for samsung i8268

Raaj

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
205
Reaction score
29
Tafadhari naombeni msaada nimeshafanikiwa ku-root simu yangu sasa shida imekuja kwenye kupata customrom nimejaribu kusearch kwenye Forum kadhaa lakini nimekosa naombeni msaada wenundugu zangu nitaipata wapi hii custom rom?
 
Hiyo simu ni version ya china hivyo tegemea kukuta website za kichina hizo rom.

Nenda website hii

CyanogenMod(CM) 4.4.x


Tumia google translator chagua whole kote then utaona roma kama 3 hv, ila ni mods za kawaida tu sio za aosp kama cyanogen
 
Chief-Mkwawa,

Asante sana CHIEF MKWAWA FRIENDLY SPEAKING I ADMIRE U.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom