msaada wadau computer inawaka lakini aionyeshi

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
naombeni msaada computer inawaka lakin aionyeshi kitu kwenye screen sijui tatizo ni nini,msaada kwa anaojua,pia na computer nyingine inawaka na kujizima,msaada plz
 
I hope itakuwa desktop na si laptop.Kama ni desktop check cable connections,cable haziko loose.Hakikisha cable(power cable na VGA cable) haziko loose.Hakikisha power iko on,then jaribu kuwasha.Screen ina rangi gani?kama ni laptop let me know.
 
nimeangalia connection zote ziko vizuri lakin bado aionyeshi kitu,ni desktop si laptop
 
naombeni msaada computer inawaka lakin aionyeshi kitu kwenye screen sijui tatizo ni nini,msaada kwa anaojua,pia na computer nyingine inawaka na kujizima,msaada plz

Swali la kizushi, umejuaje imewaka kama hakuna unachoona?

tuachane na hayo, jaribu ku-observe yafuatayo

1. Monitor (Screen) inapata umeme na imewashwa? (inawaka taa ya rangi gani)

2. Inatoa mlio wowote unapowasha kompyuta na taa ya kuonyesha kama imewaka ina rangi gani

3. Kwasababu connections zote zipo sawa umesema, jaribu kutafuta screen nyingine kama itakubali(kama ipo jirani)
 
Swali la kizushi, umejuaje imewaka kama hakuna unachoona?
tuachane na hayo, jaribu ku-observe yafuatayo
3. Kwasababu connections zote zipo sawa umesema, jaribu kutafuta screen nyingine kama itakubali(kama ipo jirani)

Hata mm namshauri atafute na cable ya VGA nyingine lazima atagundua km sio screen ni hizo wire na ajue ni tundu gani kaingiza
 
Je Kama ni laptop tatizo linaweza kuwa ni nini.....!!Kwani niko na HP laptop hapa inawaka lakini screen nyeusi...
 
nimeangalia connection zote ziko vizuri lakin bado aionyeshi kitu,ni desktop si laptop

Tumia screen nyingine ambayo inadisplay vizuri,ikikubali tatizo ni monitor yako.Kama na hiyo monitor ikigoma replace AVG cable may be iko faulty.
 
Je Kama ni laptop tatizo linaweza kuwa ni nini.....!!Kwani niko na HP laptop hapa inawaka lakini screen nyeusi...

Ni nyeusi kiasi kwamba huwezi kuona chochote au unaona ila kwa shida?Kama huoni kitu kabisa totally black, screen itakuwa na matatizo,lakini kama unaweza ona kwa mbali inverter ndiyo itakuwa inasumbua.
Replace inverter au screen as per above explanation.Ila waweza jaribu kutoa battery kwa muda kama 5mins then rudish uwashe ,then tupe mrejesho nyuma.
 
Sante Mkuu.....Ni Nyeusi Haionyeshi kitu kabisa...Ntajaribu kutoa bettery kuona kama itakubali...ila ilikuwa inafanya kazi well jana tu asubuhi kuwasha imegoma..so sijajua source ya tatizo.

Santee once again.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom