Msaada wa yahoo e mail

Msaada wa yahoo e mail

MANAKE MKARI

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
321
Reaction score
268
Naomba msaada juu ya email ya yahoo. Tangu yahoo waje na huu mwonekano mpya nashindwa kabisa kuingia kwenye inbox. Naweza kusign in vizuri lakini nikibonyeza inbox inarudi kwenye sehemu ya kusign in tena.Nimejaribu mara kibao lakini hakuna maendeleo.
 
jaribu ku google yahoo mail classic, halafu login kutumia hiyo page ya yahoo classic utakayo ipata.
Ikikusumbua sana download pop peeper, hii ni kama outlook lakini inafanya kazi vizuri kwa yahoo mail.Install na uingize details zako, uanze kujinoma.
 
Back
Top Bottom