Kam vile data za namna gani??? kuwa specific ili usaidiweHabari znu wakuu, juzi kati hapa nimeanza kusoma IT kwa level ya dplma, kna ma asgnment kla kukcha, nachoomba msaada ni website ambzo nawza pata data mbalmbali, dah yaani namkumbuka kilongwe, hv yko wapi?
ahaa, data kuhusiana na comp & acesories, it, n thng lke tht,
mtazamaji saluti mkuu nimekuelewa vema, gurta asante sana nimetembelea webopedia nimeikubali kiasi fulani ina nilivyokua navitaka.
asante wakuu.