Msaada wa website

olele

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
1,303
1,559
Habari znu wakuu, juzi kati hapa nimeanza kusoma IT kwa level ya dplma, kna ma asgnment kla kukcha, nachoomba msaada ni website ambzo nawza pata data mbalmbali, dah yaani namkumbuka kilongwe, hv yko wapi?
 
Habari znu wakuu, juzi kati hapa nimeanza kusoma IT kwa level ya dplma, kna ma asgnment kla kukcha, nachoomba msaada ni website ambzo nawza pata data mbalmbali, dah yaani namkumbuka kilongwe, hv yko wapi?
Kam vile data za namna gani??? kuwa specific ili usaidiwe
 
I love Google.

Kama huipendi, jaribu bing.com; webopedia.com; hata hiyo yahoo unayotumia kwa mail!

Kilongwe yupo afroit.com
 
Wasikilize walimu kwa makini. Amabacho hujaelewa waulize maswali. Kama huwaelewiw tumia keywords na assigment zao kwenye google. Kama ni asigment inahusu Database Normalisation Google ina maelezo kibao. Kama ni topic inahusu Computer system development kuna maelezo kbao ya Basic, Intermediate na hata advanced. So usije ukanywa uji wakati unatakiwa kula ugali au usije ukala ugali wakati unataiwa kula ndizi.

Ulizia walimu ni vitabu gani (Tiitle na Author) wanatumii kwa refeernce zao kufudishia. ukipata jibu ukija google utavipata iwe ni kwa kwenda amazon kwa bei chee au kwa kuchaakchua kwenye torrents. Kama una title ya vitabu taja kuna wadau wana E-books watakutumia

But kuhusuu google ina majibu mazuri saana na mengine ni ya watu kama wewe na mtazamaji. wanaweza wakakosea hapa na pale kwenye maelezo yao . So unapo google kuwa makini unless ni kitabu kilichothibitishwa na watu watakaokutungia mtihani. na tovuti ya mdau kilongwe umepewa ni AfroIT Forums - Kijiji cha ICT •  -
 
mtazamaji saluti mkuu nimekuelewa vema, gurta asante sana nimetembelea webopedia nimeikubali kiasi fulani ina nilivyokua navitaka.
asante wakuu.
 
mtazamaji saluti mkuu nimekuelewa vema, gurta asante sana nimetembelea webopedia nimeikubali kiasi fulani ina nilivyokua navitaka.
asante wakuu.

Pia kuna hawa jamaa wa WiBit.net wana video nzuri youtube inategema na diploma yako unataiwa kujua nini kwa undani kiasi gani. Yaani jamaa wana video za basic, intermediate na hata advanced. Kama diploma yako ina Introduction to programming pakua video zao youtube.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom