Msaada wa volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel

Sasa hivi nunua ile ya kuanzia 2010. Ni vizuri gari used ununue yenye chini ya miaka kumi au chini ya km100,000(70k itapendeza)
Hizi Tdi 3.0 za 2010 ambazo nadhani ni thrid generation ya toureg ninkali sana tatizo bei yake imechangamka sana inaelekea 50+m huko, yaani haipishani na discovery. SA pia wanazo sana sema used in africa ni hatari


 

Attachments

  • 20210312_203315.jpg
    41.4 KB · Views: 32
  • 20210312_203254.jpg
    44 KB · Views: 29
Naikubari sana hii gari,nimeifatilia kwa kiasi furani ila nilishauliwa na mtaalam mmoja ni fundi mzuri sana wa Europian car alisema ukitaka hii gari nunua ya petrol,alidai ya diesel inasumbua sana.So fanya hivyo chukua ya petrol
Hakukueleza inasumbuaje?
 

Mimi nilinunua hii gari like five years ago. Imported from UK. Less than 40k KMs.

Ni gari moja nzuri sana. Comfort yake usipime. Nimeshaenda nayo Mwanza mara tatu. Nairobi mara mbili. Arusha mara mbili.

Ingawa watu humu wanasema diesel inasumbua, gari yangu ni diesel. And I enjoy it every passing day. Nikiwa barabarani...najisikia naendesha gari kweli kweli.

Kikubwa hii gari inahitaji proper service. Mimi yangu inaenda kwa dealer kila baada ya miezi kadhaa. Na hii gari naendesha mwenyewe. Haiendeshwi na yoyote. Dereva anaikamata nikiwa naye..kama ni safari ya masafa!

Kwa comfort ya hii gari sijui kama naweza kumrudia Mjapani.

Najipanga kurudi Europe!!.
 
Kununua VW iliyotembea zaidi ya km 100000 ni kujitafutia magonjwa ya moyo tu
vw cars hazisumbuagi kabisa, mimi natumia sedan vw nimenunua in 2011 mpya, mpaka leo haijawai sumbua, nimebadili spark plugs only mara moja na tairi.Naishi china uenda labda kwa kua barabara ni nzuri, ila generally speaking germany cars ni imara sana.
 
Huko unakoishi njia nzuri, mafundi wanaozijua vw wapo,spare parts zinapatikana bila shida na la mwisho hiyo gari ulinunua mpya.
 
Kwa lugha nyepes tourage ina fuel consumption nzur kuliko ist au mm ndi nimeelewa vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…