Msaada wa VoIP provider hapa Tz

Msaada wa VoIP provider hapa Tz

Matata25

Senior Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
130
Reaction score
130
Wakuu nahitaji kupata huduma ya VoIP hapa Tanzania maana nina simu ya grandstream gxp2140 na nahitaji kuiconect na Sip protocol. Tafadhali wenye uwelewa na mambo ya ICT nahitaji msaada
 
Wakuu nahitaji kupata huduma ya VoIP hapa Tanzania maana nina simu ya grandstream gxp2140 na nahitaji kuiconect na Sip protocol. Tafadhali wenye uwelewa na mambo ya ICT nahitaji msaada
Smile
Habari Node

Wanazo hizo huduma.
 
Smile
Habari Node

Wanazo hizo huduma.

awafuate hao jamaa kwa hiyo sim yake [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Hii nchi bado sana, hadi sasa sijui kama kuna mtandao wa simu wenye VoLTE
 
awafuate hao jamaa kwa hiyo sim yake [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Hii nchi bado sana, hadi sasa sijui kama kuna mtandao wa simu wenye VoLTE

Naona smile wanayo
 

Attachments

  • Screenshot_20201009-201239~2.png
    Screenshot_20201009-201239~2.png
    79.6 KB · Views: 18

Attachments

  • Screenshot_20201009-202018.png
    Screenshot_20201009-202018.png
    91.4 KB · Views: 20
Wakuu nahitaji kupata huduma ya VoIP hapa Tanzania maana nina simu ya grandstream gxp2140 na nahitaji kuiconect na Sip protocol. Tafadhali wenye uwelewa na mambo ya ICT nahitaji msaada
Kama upo Dar es salaam waone " Service and Computer Industries (SCI) wapo makutano ya Bibi Titi/Ali Hassan Mwinyi, Julia Kama insoles Mahakama ya Kisutu, ndani ya Jengo zamani likijulikana Kama Tanganyika Motors.
 
awafuate hao jamaa kwa hiyo sim yake [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Hii nchi bado sana, hadi sasa sijui kama kuna mtandao wa simu wenye VoLTE
Smile na Smart wana VoLTE. Zantel walitaka kuweka na wao sijui wameishia wapi
 
Option nyengine kwa Voip ni kutumia service za Kimataifa kama Vile Skype. Wanacharge kama 800 kwa Dakika 1 kwa simu za Ndani Tanzania.

Hapa Tanzania Zipo Kampuni Nyingi za Voip kama Ttcl, Simbanet etc Tatizo hii huduma imekaa ki Enterprise zaidi kuliko mtu mmoja mmoja, utapata Benefit kama una branch kadhaa za ofisi yako maana gharama inaweza fika mamilioni.
 
Wakuu nahitaji kupata huduma ya VoIP hapa Tanzania maana nina simu ya grandstream gxp2140 na nahitaji kuiconect na Sip protocol. Tafadhali wenye uwelewa na mambo ya ICT nahitaji msaada
Nina utaalamu wa wa hayo mambo ya voice over ip (voip) swali la kwanza je una ippbx yenye uwezo wa sip protocol? Je ni aina gani na ulisha configure na ku connect hizo ip phone zako je ip pbx yako ina card ya pstn(fxo) e1 line ama sip trunk card ukishajua hayo jua na kila lain ina kazi yake fxo ni analogy lines ambazo ni single line,e1 ni line za digital zinazokuja kwa mfumo wa data ila zina multiple channels mpaka 30 wengi wao utumia kampuni zenye matumizi makubwa ya kupiga simu ama call center na sip trunk line ni mfumo wa digital ambao auna tofauti sana na e1 ila huu umeenda mbali zaidi mpaka kutumia fiber ndo latest kwa sasa ambao unakupa uwezo wa DID numbers kama ilivyo kwa e1 lines,
 
Option nyengine kwa Voip ni kutumia service za Kimataifa kama Vile Skype. Wanacharge kama 800 kwa Dakika 1 kwa simu za Ndani Tanzania.

Hapa Tanzania Zipo Kampuni Nyingi za Voip kama Ttcl, Simbanet etc Tatizo hii huduma imekaa ki Enterprise zaidi kuliko mtu mmoja mmoja, utapata Benefit kama una branch kadhaa za ofisi yako maana gharama inaweza fika mamilioni.
Niliwacheck Simbanet wakaniambia kuwa hawatoi hyo huduma ya VoIp kwa sasa maana TCRA imewanyima leseni na kampuni za ISPs kama tgo voda na ttcl hawatoi hyo huduma cku hzi.
 
Mkuu haya madude mimi nacheza nayo sana kwanzia sangoma,3cx,xorcom,yeastar,dlink yote na zingine zote ni open source ip pbx
Mkuu mimi ninayo cm ya grandstream gxp 2140 vpi unaweza ukaipatia SIP protocol kwa kutumia 3cx au callcentric ili niweze kuitumia hapa bongo Ila charges ziwe economic friendly?
 
Smile
Habari Node

Wanazo hizo huduma.
Mkuu nilienda smile shop ya Mwanza mhudumu niliemkuta hajuwi hata maana ya VoIP. Kwa hyo msaada hakuna labda niulizie smile branch ya dar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom