Msaada wa vitabu vya cisco free nitavipat website gani

Msaada wa vitabu vya cisco free nitavipat website gani

Livanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2010
Posts
475
Reaction score
157
Gurus habari naitaji kujua naweza je kupata free books for CISCO
 
Gurus habari naitaji kujua naweza je kupata free books for CISCO

CISCO wenyewe wana free book. intwa Internetworking technology handbook. Unaweza kukipata kwenye Doc Wiki site yao CISCO au unaweza kugoogle hilo jina

KAma vipi pakua hio ebook hapa nimekuweka file hizo mediafire
Cisco must read chapter
Must study chapter

Vile vile unaweza kupakua training video za jamaa
Gharama ni bandwidth yako tu
 
Attachments

Back
Top Bottom