KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Sasa unataka kurusha kwa kutumia nini decoder au waya kama wanavyofanya wahindi,kama ni kwa kutumia satelite itakukost kidogo kuanzia kwenye vibali mpaka kwenye mitambo yenyewe ya kurushiaMkuu mm wazo langu linafanana na lako lakni ni tofauti kdogo; nataka kurusha channel za tv kama wanavyofanya Ting, star times; Japo main concern yangu ni channel chache2 za sports burudani na news ambazo nitazitoa bure;
Binafsi sio mtaalma sana wa haya mambo lakini nimewaji kuyafuailia na kujifunza kwa karibu.Wakuu hamjambo wote?,naombeni msaada wenu wa kimawazo na pia kiufundi nahitaji kuanzisha mradi wa kusambaza/kugawa chaneli mtaani ni nini ninachohitaji kuwa nacho ili niweze kuikamilisha master control room kwa kuanzia kwanza nahitaji kuwa na chaneli 15 za kuanzia na umbali ninaotarajia kusambaza ni kama kilometa tano. Naomba michango yenu kwa hali na mali ili niweze kulifanikisha zoezi hili.
1 Select the area you want to construct your station and transmitter tower on. It should have a reasonably clear line of sight for your broadcast area, and the transmitter you select should be able to reach that area. Design your building and check local construction codes to make sure your plans comply. When planning your transmitter, make sure to check height restrictions for freestanding structures, if you need to build a tower.
2.
Fill out and submit Form 302-CA, the Federal Communications Commission's application to build a broadcast television station.( Kwa bongo nadhanihapa inabdii uwasiliane na TCRA) Carefully follow all instructions before submitting the form. This will include informing the public you wish to build a television station. Pay careful attention to the engineering section. You must demonstrate your broadcast will not interfere with the signal of any other broadcasters. Interference with other broadcasters is the most likely reason an application will be rejected, so pay special attention to this area.
3
Construct your transmitter, and connect it to your video playback device and monitor. This should be a professional video player, called a "deck" in TV engineer slang. License content to broadcast on your station. Many older TV shows will be available for a small fee. Another good source of content are low-budget independent films, which are available for small fees. Check all content you broadcast against the FCC's broadcast regulations, to avoid complaints for your audience and fines from the FCC.
Read more: How to Start a Television Station | eHow.com How to Start a Television Station | eHow.com
Mtazamaji hebu tumia mifano hai
mfano tv kama clouds tv hivi
teknolojia pale ni ipi?gharama za vifaa?
Hapa bongo makampuni gani yanaweza kuwa na ujuzi na gharama nafuu?????
Sasa unataka kurusha kwa kutumia nini decoder au waya kama wanavyofanya wahindi,kama ni kwa kutumia satelite itakukost kidogo kuanzia kwenye vibali mpaka kwenye mitambo yenyewe ya kurushia
amoeba labda wewe una vifaa gani tayari?
au umepanga bajeti ya kiasi gani?
na hizo trannsmitter umeshapata?
amoeba labda wewe una vifaa gani tayari?
au umepanga bajeti ya kiasi gani?
na hizo trannsmitter umeshapata?
Boss wakati unabsuiri jibu la watalaama tembela hapa Digital Transmitter Price, Digital Translator Price. na wasome hawa pia Elite Digital TV Transmitter Family | Thomson-Broadcast. Unaweza upata picha but hope wachina wanaweza kuwa wanatengeza trasmiter na vifaa vinge bora na nafuu. zaidi
Nimesahau nanilikuwa mchovu wa mahesabu kidogo lakini nadhani kwa kujua ukubwa XXwatss unaweza kukadiria transmitter itarusha umbali gani. Watts ni kipimo cha power.
Assuming kuwa hakuna vikwazo vya inteference na obstacle eg milima kati ya trasmiter na na maeneo yanayokusudiwa kupokea matangazo unaweza unaweza kujua ni tramsiter yenye nguvu gani utahitaji
NB
Mpaka hapo nikurusha matangazo ya bure tu kama ITV na TVT kama unataka wapokeaji walipe then cable no solution nafuu kuliko satelite.
Sijakusoma vzr hapo kwenye red mkuu, nafuuni ipi kama ninataka wapokeaji walipe?
Sijakusoma vzr hapo kwenye red mkuu, nafuuni ipi kama ninataka wapokeaji walipe?
edit: nadhani ulimaanisha cable ni solution rahisi kuliko satellite! kama ndy hvyo, toa mawazo yako; kule kwa mpokeaji nitawezaje kumpa channel 7 bure na 3 kulipia?