Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,946
- 1,432
nguo hizo zimenunuliwa kwa dola na ni kwa kodi yetu
Daaa nimecheka sana mkuu, au sio???Hahaha JF sio mchezo.
nguo hizo zimenunuliwa kwa dola na ni kwa kodi yetu
Duh, wamemechisha? Wamependeza, ndilo pekee naloweza sema.
Mh sina hata la kuongea ila nilitaka kujua kwamba huyo mbunge wa viti maalumu kulikuwa na haja ya yeye kuwepo hapo na mkuu wa nchi tena kwenye red carpet?
Swali: Hapo walikuwa wapi? Na kama ni nje ya nchi basi hao wenyeji wa wa kiongozi wetu lazima wajue kua huyo ndie FIRST LADY WA TANZANIA. Picha inajieleza jamani au nyinyi mnaitafsiri vipi?
Alitoa sababu gani baada ya kutumia huo msahafu. Tujuze mkuu.
Itakuwa "alisilimu"Alitoa sababu gani baada ya kutumia huo msahafu. Tujuze mkuu.
Huyo ni Catheline Magige mbunge wa viti maalum Arusha.
Huyo ni Catheline Magige mbunge wa viti maalum Arusha.
jaman asst wake..kwemba kwilekeja.Mama Mwanaasha mbona haonekani?
Nilisikia kaoa katoto na huyu nae vp ni mwingine rofauti na yule aliyejifungua majuzimay be naweza kua 2nd wife
Wana JF naomba misaidie. Huyu Mama aliye na mkuu wetu wa nchi kwenye Red Carpet ni nani na ana wadhifa gani?? msaada tafadhali
View attachment 52592