Yule dada hakutakiwa kutokea kwenye ile picha ila tena ndio hivyo...
fursa sawa kwa wotewamependeza km walivyokusudia.
kwa kifupi huwa anampanulia mkubwa mapaja kwani si unajua mkuu bado kijana,ila hilo hatuna tatizo nalo tunataka afanye alichotumwa kufanya na mwananchioh kumbe? Imekuwaje wavae sare namna hii na mkuu wa nchi?

Huyo Binti anaitwa Ms. Catherine Lyombe na hapa alikuwa ana-represent Mining Stakeholders Forum
Haya sasa lakini
Kwa nini wao wawili tu ndio wavae nguo zinazofanana?
Nimeangalia kwa makini picha za siku hiyo ... ila katika ukumbi mzima ni wao wawili tu walio-mechisha nguo! ... watu wengine wote walivaa nguo zao za kawaida.
Maana yake ni kwamba hayakuwa mavazi rasmi ya shughuli ya siku hiyo!
Nimeweka picha hizo hapa ili na nyie muangalie katika ukumbi wote ni wao wawili tu waliomechisha!
Sasa angalia watu wengine waliokuwepo ukumbini wamevaa nguo tofauti na wao
Kwa nini wao wawili tu ndio wavae nguo zinazofanana?
.
Asante Allien kwa kuikuza picha. Huyo dada si Catherine Magige kama wengine wanavyodai.