Nadhani watu wamesahau; hii ilikuwa ni siku ille ya hotuba yake ya mwisho wa mwezi - nadhani ni wa Februari; aliitoka kwenye function hii na akaenda kuhutubia. Kwamba kwanini wamevaa sare ya kitambaa kimoja jibu ni jepesi.
hapa wako malawi kwenye msiba/ mazishi ya Bingu
hapa wako malawi kwenye msiba/ mazishi ya Bingu
oh kumbe? imekuwaje wavae sare namna hii na mkuu wa nchi?
Mama Mwanaasha mbona haonekani?
Yule dada hakutakiwa kutokea kwenye ile picha ila tena ndio hivyo...
Mkuu Mwana Mpotevu kweli ni Malawi hapo? Ina maana Rais alienda Malawi na Waziri wa Nishati na Naibu wake kweli?
Siyo kwenye shughuli moja ya mambo ya madini iliyofanyika kama mwezi mmoja uliopita?
Mpendane kama nilivyowapenda mimi.
Kama ameolewa basi mumewe atakuwa na kazi kweli kweli. Maana kwa walivyomechisha lolote laweza kusemwa hata kama si kweli. Watu wa protokali walipaswa kuepusha balaa hili. Kazi hata kwa Salma.
Huyo ni Catheline Magige mbunge wa viti maalum Arusha.
nguo hizo zimenunuliwa kwa dola na ni kwa kodi yetu