Msaada wa Ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa Ushauri

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by jec2001tz, May 28, 2011.

 1. j

  jec2001tz Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina ndugu yangu ana miliki nyumba katikati ya mji wa Moshi tangu miaka mingi iliyopita. Ila kwa maelezo yake kwa sasa Liz imekwisha na ametakiwa na Manispaa kujenga Ghorofa. Yeye mwenyewe hana uwezo kujenga Ghorofa na pia hayuko interested kuuza. Alitaka kama angeweza kupata either shirika au mtu binafsi ambaye ataingia naye mkataba wa aina flani ili aweze kuendelea kuwa mmiliki. Ni shirika gani na ni wapi anaweza kupata huyo mtu ndiyo msaada mkubwa anaoomba.
  Naomba kuwasilisha.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu ... inakshi post kwa kuongeza details za hicho kiwanja ...kama vile ukubwa wake in sqm, kipo karibu na jengo gani au mtaa huo kilipo una potential gani kibiashara...? n.k
   
 3. j

  jec2001tz Member

  #3
  May 28, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu nashukuru kwa ushauri, nitafanya hivyo nitakapoonana nae maana yeye kwa sasa yupo Moshi na mimi niko Arusha. ila ni kwamba si kiwanja, ila kuna nyumba kabisa na inawapangaji ya fremu za duka kumi na mbili.. Kama unaijua Moshi kidogo iko Chaga street karibu kabisa na stendi ya Maili sita. ni sehemu ambayo kkuna biashara sana, na fremu maeneo yale ni mpaka laki 4 kwa fremu ya kawaida.
   
Loading...