Msaada wa ushauri wakuu

right way

Member
Jul 28, 2017
85
28
Nikijana niemaliza kidato cha sita na nikabaatika kwenda jkt 2014 kwa mujibu wa sheria ninapenda sana kuhudumu katika wizara ya mambo ya ndani (uhamiaji au Takukuru ) naombeni msaada wenu wa ushauri.

Nifanyeje na upande wa Takukuru nilikua kiongozi wa mkoa wakati nikisoma nimejitahidi kufanya kazi mbali mbali mbali kama kiongozi mpaka nikapewa cheti bora cha uzuiaji na kupambana na rushwa nisaidieni wakuuu msaada wenu ndio msingi wa mafanikio yangu ukiitaji kuchart pm sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikijana niemaliza kidato cha sita na nikabaatika kwenda jkt 2014 kwa mujibu wa sheria ninapenda sana kuhudumu katika wizara ya mambo ya ndani (uhamiaji au Takukuru ) naomben msaada wenu wa ushaur nifanyeje na upande wa Takukuru nilikua kiongozi wa mkoa wakati nikisoma nimejitahidi kufanya kazi mbali mbali mbali kama kiongozi mpak nikapewa cheti bora cha uzuiaji na kupambana na rushwa nisaidieni wakuuu msaada wenu ndio msingi wa mafanikio yangu.ukiitaji kuchart pm sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kutujuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh. Wanaazaga hivi hivi... Mnakuja kuwa kina luge malila na balali
 
Back
Top Bottom