Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,152
- 190,689
Fanya mpango ukanunue tu ila nikuhakikishie utalipaki kabla ya jogoo wa mwaka mpya kuwikaMsaada wa Ushauri: Kununua Toyota V8.
Wakuu, hela nimepata kwa kuuza eneo langu so sitaki maswali hela nimepata wapi, na sasa nina pesa. juzi kati nimeona tangazo la gari aina ya V8, Toyota V8 used tz namba D kali. hii imekuwa ndoto yangu kubwa kulimiliki na nimelipenda sana
Je, kwa umri wangu wa miaka 25, ni uamuzi sahihi? Nipe ushauri wenu kwa uzoefu ila ushauli wa hela yangu kufanyia biashara sitaki, baishara ninazo.
, na sasa nina pesa. juzi kati nimeona tangazo la gari aina ya V8, Toyota V8 used tz namba D kali. hii imekuwa ndoto yangu kubwa kulimiliki na nimelipenda sana
