Msaada wa Ushauri: Kununua Toyota V8

Msaada wa Ushauri: Kununua Toyota V8

Msaada wa Ushauri: Kununua Toyota V8.

Wakuu, niliuza eneo ndo nimepata pesa sasa maswali hela nimepata wapi nishajibu, kwahiyo sasa nina pesa.
juzi nimepita online nimeona tangazo kuna gari kali V8 inauzwa na nimelipenda na ni Toyota V8 namba D kali sana, hii imekuwa ndoto yangu kubwa kulimiliki sasa nataka nilinunue maana bajeti inatosha,

Je, kwa umri wangu wa miaka 25, ni uamuzi sahihi? Nipe ushauri wenu kwa uzoefu. Ila ushauli wa biashara sitaki.
Hukutakiwa kuwa na hela bado hujakuwa
 
2015
2wheel drive
Transmission
Automatic
Petrol
Seat 8
.
Screenshot_20250807-112427.jpg
 
Msaada wa Ushauri: Kununua Toyota V8.

Wakuu, hela nimepata kwa kuuza eneo langu so sitaki maswali hela nimepata wapi , na sasa nina pesa. juzi kati nimeona tangazo la gari aina ya V8, Toyota V8 used tz namba D kali. hii imekuwa ndoto yangu kubwa kulimiliki na nimelipenda sana
Je, kwa umri wangu wa miaka 25, ni uamuzi sahihi? Nipe ushauri wenu kwa uzoefu ila ushauli wa hela yangu kufanyia biashara sitaki, baishara ninazo.
 
Back
Top Bottom