Elroysangi
Member
- Jan 11, 2021
- 11
- 3
Watoto wa mama bhana.. unaogopa zoezi?!!Wakuu,
Ninaomba ushauri kidogo. Nimemaliza chuo ka degree cha computer science nimekaa kitaa kidogo kwenye kuhangaika na mishe mzee mmoja wa family ana title heavy huko TPDF kisa nna age ndogo 22 na hio degree amesuka mambo niende JKT then afanye connection niingie TPDF.
Family iko kooni niende maana hali kidogo kwangu bado haiko vizuri. Ukakasi ni kuwa story kitaa na kuuliza uliza watu wanasema huko ni kuumana unaweza poteza 2 yrs na urudi kitaa uanze upya, na pia honestly mimi sio mtu wa mazoezi.
So wakuu, niko mbele yenu kuomba ushauri na maoni iko worth it kucheza hio kamari au nikomae kitaa?
Nenda tu Mzee, ila mwambie huyo Mzee akupe uhakika mana kuna jamaa kule wanasota tu mpaka leoWakuu,
Ninaomba ushauri kidogo. Nimemaliza chuo ka degree cha computer science nimekaa kitaa kidogo kwenye kuhangaika na mishe mzee mmoja wa family ana title heavy huko TPDF kisa nna age ndogo 22 na hio degree amesuka mambo niende JKT then afanye connection niingie TPDF.
Family iko kooni niende maana hali kidogo kwangu bado haiko vizuri. Ukakasi ni kuwa story kitaa na kuuliza uliza watu wanasema huko ni kuumana unaweza poteza 2 yrs na urudi kitaa uanze upya, na pia honestly mimi sio mtu wa mazoezi.
So wakuu, niko mbele yenu kuomba ushauri na maoni iko worth it kucheza hio kamari au nikomae kitaa?
Kwahiyo wote wasioenda jeshi wanakula ugari wa babaUsiende kaa nyumbani uendelee kula ugali wa baba.
On a serious note: Hili ni swala lako kuamua.
Ugari[emoji777]Ugali[emoji3514]Kwahiyo wote wasioenda jeshi wanakula ugari wa baba
Unaogopa nini?Wakuu,
Ninaomba ushauri kidogo. Nimemaliza chuo ka degree cha computer science nimekaa kitaa kidogo kwenye kuhangaika na mishe mzee mmoja wa family ana title heavy huko TPDF kisa nna age ndogo 22 na hio degree amesuka mambo niende JKT then afanye connection niingie TPDF.
Family iko kooni niende maana hali kidogo kwangu bado haiko vizuri. Ukakasi ni kuwa story kitaa na kuuliza uliza watu wanasema huko ni kuumana unaweza poteza 2 yrs na urudi kitaa uanze upya, na pia honestly mimi sio mtu wa mazoezi.
So wakuu, niko mbele yenu kuomba ushauri na maoni iko worth it kucheza hio kamari au nikomae kitaa?
Ni kweli kabisaUsiende kaa nyumbani uendelee kula ugali wa baba.
On a serious note: Hili ni swala lako kuamua.
Kama unadhani unapenda sana jeshi, nenda mwaka kesho kutwa wakati kibwengo 👿 anaondoka.Wakuu,