Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Msaada na mdogo wangu amesomea CBG na matokeo yake ni kama ifuatavyo CHEM B BIOLOGY C GEO B BAM C GS B ILA FORM 4 ALIKUWA NA F YA MATH ILA ALIKUWA NA BIOLOGY B GEO C CHEM B NA MENGINE YOTE NI C KASO HILO MATH TU NDIO F NAOMBENI USHAURI WA COURSE NZURI KWA CBG ?
Kwa upande wangu mimi nili mshauri hii course ya bvm(sua) ila haya maelezo ndio kidogo yamenivuka
Asanteni na samahani kwa kiswahili kibovu na kama inawezekana mnisaidie course na kazi zake
Kwa upande wangu mimi nili mshauri hii course ya bvm(sua) ila haya maelezo ndio kidogo yamenivuka
Asanteni na samahani kwa kiswahili kibovu na kama inawezekana mnisaidie course na kazi zake