Msaada wa ushauri kuhusu huyu mdogo wangu wa CBG

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Msaada na mdogo wangu amesomea CBG na matokeo yake ni kama ifuatavyo CHEM B BIOLOGY C GEO B BAM C GS B ILA FORM 4 ALIKUWA NA F YA MATH ILA ALIKUWA NA BIOLOGY B GEO C CHEM B NA MENGINE YOTE NI C KASO HILO MATH TU NDIO F NAOMBENI USHAURI WA COURSE NZURI KWA CBG ?

Kwa upande wangu mimi nili mshauri hii course ya bvm(sua) ila haya maelezo ndio kidogo yamenivuka

Asanteni na samahani kwa kiswahili kibovu na kama inawezekana mnisaidie course na kazi zake

Screenshot_20210718-134017.jpg
 
View attachment 1858226

Ina maana hakusoma hata physics olevo? Kila siku tunawaambia ila wanakua wabishi mara ooh physics ngumu ona sasa anapishana na gari la mshahara mchana kweupe ...

Japo hujasema ila kama alisoma physics olevo mwambie aomba na pia hata kama hakusoma aombe tu maana huwezi jua ushindan ukoje.

NB: Kama ni mvivu wa kusoma au hapendi kusoma au ni mtoto wa mama au ni kasista duu au nikasharobaro basi mwambie asiende kusoma hiyo kozi...

Ila kama anajijua ni mchapa kazi mwambie akasome..
 
Environmental health science
 
Muambie aaplai Environmental health science hapa Muhas Anachukuliwa chap
 
Kwenye hiyo tcu admission guide apitie degrees za sua kwa umakini atapata ya kuchagua. Kwa vile BAM ana c hiyo f ya math o level si tatizo. Hiyo ya vet issue inaweza kuwa physics kama yuko ok basi aombe.
Vet si rahisi lakini kama wengine wengi hufanikiwa ku graduate hata yeye ataweza bora awe wa kujituma.
 
Asante sana kwa ushauri kiongozi o level alisoma Phy na alipata C
 
Ina maana hakusoma hata physics olevo? Kila siku tunawaambia ila wanakua wabishi mara ooh physics ngumu ona sasa anapishana na gari la mshahara mchana kweupe ...

Japo hujasema ila kama alisoma physics olevo mwambie aomba na pia hata kama hakusoma aombe tu maana huwezi jua ushindan ukoje.

NB: Kama ni mvivu wa kusoma au hapendi kusoma au ni mtoto wa mama au ni kasista duu au nikasharobaro basi mwambie asiende kusoma hiyo kozi...

Ila kama anajijua ni mchapa kazi mwambie akasome..
Alisoma phy na alipata C
 
Alisoma phy na alipata C
Hiyo Phy ndio itakayo mbeba, kama anaipenda hiyo kozi mwambie aombe tena aweke namba moja kabisa.

Kwa mtazamo wangu hiyo ndiyo moja ya kozi za maana kwa mtu wa CBG.

NB: Achukue guide book ya tcu aangalie kozi za Ardhi na KCMC..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom