Muhamala
Senior Member
- Oct 1, 2017
- 101
- 88
Habari za weekend wakuu??
Nahitaji ushauri kutoka kwa wajuzi wa biashara ya usafirishaji. Kuna gari mbili za mizogo zote zina uwezo wa kubeba mizigo hadi tani 6 zina box body zote zimepata kazi kwenye kiwanda kimoja.
Nia na dhumuni la kuandika uzi huu ni kuomba ushauri jinsi ya kupata kazi za ziada ili kuongeza kipato sababu kiwandani kazi sio nyingi kihivyo ni ile tu kwasababu kuna kazi za uhakika. Bila shaka kuna wajuzi wengi wa biashara ya usafirishaji mizigo humu naomba tupeane uzoefu.
NB: Gari zipo tayari kufanya za mjini na nje kidogo ya mji.