Msaada wa ushauri biashara ya usafirishaji wa mizigo

Muhamala

Senior Member
Oct 1, 2017
101
88
Habari za weekend wakuu??

Nahitaji ushauri kutoka kwa wajuzi wa biashara ya usafirishaji. Kuna gari mbili za mizogo zote zina uwezo wa kubeba mizigo hadi tani 6 zina box body zote zimepata kazi kwenye kiwanda kimoja.

Nia na dhumuni la kuandika uzi huu ni kuomba ushauri jinsi ya kupata kazi za ziada ili kuongeza kipato sababu kiwandani kazi sio nyingi kihivyo ni ile tu kwasababu kuna kazi za uhakika. Bila shaka kuna wajuzi wengi wa biashara ya usafirishaji mizigo humu naomba tupeane uzoefu.

NB: Gari zipo tayari kufanya za mjini na nje kidogo ya mji.
 
Elewa pia kuzipa kazi ya ziada unaziongezea uwezekano wa kuharibika mara kwa mara hivyo kuathiri mkataba wako kiwandani....utajikuta unaingia extra costs kufidia kazi ya kiwandani...kama kiwandani pesa unayopata inakuridhisha ninashauri uzitulize hizo kiwandani anza kufikiri jinsi ya kuongeza lorries nyingine kwa kazi za nje.....jamaa angu wa tunduma alipata tenda ya kusapply saruji hapo MCC akazipa gari kazi za ziada...akawa anachomoa maboza ya saruji anavalisha tela ya semi anapeleka mzigo Dar...injini zikafa fasta gharama za matengenezo zikawa kubwa akafeli kusaplai saruji...mkataba ulipoisha MCC wakapokonya kandarasi akapewa baniani...so thaminisha,amua...mi nimeshauri tu
 
Usemalo ni kweli kabisa ila pesa hairidhishi mkuu ni bora kupata kidogo kuliko kukosa kabisa.
 
Hapana mkuu hawa ni agent wa mizigo kwenye sekta ya usafirishaji nikipata wasaa I will asist on one way or other nilishafanya haya maishu miaka 5 nyuma huko
Itakuwa msaada sana mkuu ebu naomba nisaidie ndugu yako.
 
Hapana mkuu hawa ni agent wa mizigo kwenye sekta ya usafirishaji nikipata wasaa I will asist on one way or other nilishafanya haya maishu miaka 5 nyuma huko
Mkuu kwema?? Pole na majukumu ukipata wasaa nahitaji msaada wako wa kiushauri kama ulivyoniahidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom