Msaada wa ushauri biashara ya usafirishaji wa mizigo

Muhamala

Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
98
Points
225

Muhamala

Member
Joined Oct 1, 2017
98 225
Habari za weekend wakuu??

Nahitaji ushauri kutoka kwa wajuzi wa biashara ya usafirishaji. Kuna gari mbili za mizogo zote zina uwezo wa kubeba mizigo hadi tani 6 zina box body zote zimepata kazi kwenye kiwanda kimoja.

Nia na dhumuni la kuandika uzi huu ni kuomba ushauri jinsi ya kupata kazi za ziada ili kuongeza kipato sababu kiwandani kazi sio nyingi kihivyo ni ile tu kwasababu kuna kazi za uhakika. Bila shaka kuna wajuzi wengi wa biashara ya usafirishaji mizigo humu naomba tupeane uzoefu.

NB: Gari zipo tayari kufanya za mjini na nje kidogo ya mji.
 
N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Messages
4,595
Points
2,000

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2014
4,595 2,000
Habari za weekend wakuu??

Nahitaji ushauri kutoka kwa wajuzi wa biashara ya usafirishaji. Kuna gari mbili za mizogo zote zina uwezo wa kubeba mizigo hadi tani 6 zina box body zote zimepata kazi kwenye kiwanda kimoja.

Nia na dhumuni la kuandika uzi huu ni kuomba ushauri jinsi ya kupata kazi za ziada ili kuongeza kipato sababu kiwandani kazi sio nyingi kihivyo ni ile tu kwasababu kuna kazi za uhakika. Bila shaka kuna wajuzi wengi wa biashara ya usafirishaji mizigo humu naomba tupeane uzoefu.

NB: Gari zipo tayari kufanya za mjini na nje kidogo ya mji.
Elewa pia kuzipa kazi ya ziada unaziongezea uwezekano wa kuharibika mara kwa mara hivyo kuathiri mkataba wako kiwandani....utajikuta unaingia extra costs kufidia kazi ya kiwandani...kama kiwandani pesa unayopata inakuridhisha ninashauri uzitulize hizo kiwandani anza kufikiri jinsi ya kuongeza lorries nyingine kwa kazi za nje.....jamaa angu wa tunduma alipata tenda ya kusapply saruji hapo MCC akazipa gari kazi za ziada...akawa anachomoa maboza ya saruji anavalisha tela ya semi anapeleka mzigo Dar...injini zikafa fasta gharama za matengenezo zikawa kubwa akafeli kusaplai saruji...mkataba ulipoisha MCC wakapokonya kandarasi akapewa baniani...so thaminisha,amua...mi nimeshauri tu
 
Usemalo ni kweli kabisa ila pesa hairidhishi mkuu ni bora kupata kidogo kuliko kukosa kabisa.
 
Forum statistics

Threads 1,367,065
Members 521,655
Posts 33,386,383
Top