dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,220
- 54,877
modem yangu kama hii waliifunga line, sikuitumia kitambo sana!Kajaribu Hiyo trick ya hapo juu then rudi tena utoe ushuhuda.
Kifupi Chochoro zipo ila hawapewi wavivu kama wewe
modem yangu kama hii waliifunga line, sikuitumia kitambo sana!Kajaribu Hiyo trick ya hapo juu then rudi tena utoe ushuhuda.
Kifupi Chochoro zipo ila hawapewi wavivu kama wewe
ngojea nikaijaribuHaya nimekuja!!
Fantastic Malinza Jr Tafuta limodem la zantel lile la zamani Huawei EC122 jaribu na Pdproxy au Cproxy ukiona linasongesha jiongeze
SijaelewaJaribu kuweka mambo kisiri siri mara mbili umfuate mtu PM
Uwezekano wakutoa upo kweny pc nyingineNjoo nikupe unlimited internet kwa 15000 tu kwa mwezi
Huyu mtu alipewa ban nintapeli nini wakuuNjoo nikupe unlimited internet kwa 15000 tu kwa mwezi