Hii issue Yako ungefanya vipimo kwanza..Kwema wakuu nimekua na changamoto ya mkojo unakua unaambatana na hali ya kuchoma choma na pia wakati wa sex inatoka vitu kama uchafu hivi ni tatizo la muda sana nimechoma powerself mara 2 wakati natumia inakata nikimaliza ti dose inajirudia
Pia nimemeza mchanganyiko wa metronidazole,Cipro na doxy na yenyewe nikamaliza dose
Mwenye anafahamu tiba hata ya asili msaada make inafikia Kuna wakati nikipiz inaambatana na damu
Mm nna dawa ya kutibu huo ugonjwa wako wa upanuzi wa mkungu baada ya kupanuliwa na watu wa ccm, nitakupa bure.Nitakupa dawa bure ndani ya masaa 24 utakuwa mzima kabisa.
Masharti
1. Usiandamane.
2. Uwe Dar es salaam
From experience huyo ni me..me or ke ?
Nipime UTI au STIHii issue Yako ungefanya vipimo kwanza..
By the way.. Kuna brother mmoja amenishukuru Leo ni story ndefu ila to cut story short...
Nili mpa CEFIXIME 400MG TABS 10'S AKATUMIA PAMOJA NA CITAL LIQUID now mkojo unatoka mweupe amepona..
Mkewe alikua na P.I.D SUGU nae Baada ya ultra sound pia nili mpa CLINDAMYCIN 300MG CAPS na ORNIDAZOLE 500MG TABS AKATUMIA PAMOJA now case imekwisha..
Sawa shukrani nitarudi mkuuZingatia mambo makuu mawili:-
1. Nakushauri utafute hospital yenye kipimo cha kuotesha mkojo (Culture & sensitivity), hii itabaini aina ya bakteria wanaokusababishia UTI na itatoa suluhu ya dawa mahususi ya kuua bakteria hao.
2. Hakikisha mwenza wako anapata vipimo ili uwe unashiriki ngono salama au ujiuepushe na mazingira yanayoweza kukusababishia maambukizi ya kujirudia kama vile usafi wa mwili, mavazi na mazingira.
MUHIMU ZAIDI: Epuka matumizi holela ya dawa kwani yatakusababishia Usugu wa vimelea dhidi ya dawa.
Usipopona kwa mambo haya mawili urudi hapa nikusaidie jambo jingine.
ASANTE
Mkuu UTI kwa dawa za hospitali utamaliza karibu zote sio rahisi kupona nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.Kwema wakuu nimekua na changamoto ya mkojo unakua unaambatana na hali ya kuchoma choma na pia wakati wa sex inatoka vitu kama uchafu hivi ni tatizo la muda sana nimechoma powerself mara 2 wakati natumia inakata nikimaliza ti dose inajirudia
Pia nimemeza mchanganyiko wa metronidazole,Cipro na doxy na yenyewe nikamaliza dose
Mwenye anafahamu tiba hata ya asili msaada make inafikia Kuna wakati nikipiz inaambatana na damu
Uzi ulipaswa kufungwa hapa ulipotaja tu Cefixime nimefahamu unajua dawaHii issue Yako ungefanya vipimo kwanza..
By the way.. Kuna brother mmoja amenishukuru Leo ni story ndefu ila to cut story short...
Nili mpa CEFIXIME 400MG TABS 10'S AKATUMIA PAMOJA NA CITAL LIQUID now mkojo unatoka mweupe amepona..
Mkewe alikua na P.I.D SUGU nae Baada ya ultra sound pia nili mpa CLINDAMYCIN 300MG CAPS na ORNIDAZOLE 500MG TABS AKATUMIA PAMOJA now case imekwisha..
Mavi yako yananuka sana..Nitakupa dawa bure ndani ya masaa 24 utakuwa mzima kabisa.
Masharti
1. Usiandamane.
2. Uwe Dar es salaam
Atumie mzizi gani ili apone wa mlonge au wa mnyonyo au akate mzizi wa mkomamanga asage anye na mchemsho wa maji ya mwarobaini siku 14 atapona?Mkuu UTI kwa dawa za hospitali utamaliza karibu zote sio rahisi kupona nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.