Msaada wa tiba ya Lupus

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,493
8,728
Habari Za weekend. Kama kichwa cha habari kinavyo sema kuna ndugu yangu ni mdada alipima kwa Wachina Dar akaambiwa ana Lupus. Je huu ugonjwa una tiba?

Make nimejaribu ku google naambiwa huwa hakuna tiba. Msaada tafadhali.
 
Ni moja kati ya magonjwa sugu yahusuyo mfumo wa kinga ya mwili kushambulia mwili wako na huwa na mtindo wa kuwa na kipindi cha kupata nafuu na kuwa kama umepona na kipindi cha kushambulia na kuwa hoi.
Huathiri zaidi wanawake, hadi asilimia 90 ya wagonjwa huwa wanawake. Na mara nyingi huanza kwenye umri wa uwezo wa ubebaji mimba.

Ugonjwa huu hauna tiba ziaidi ni kutibu dalili na kupunguza makali yake
Moja kati ya dawa ambazo hutumika ni:

1- Dawa za malaria, ambazo husaidia kupunguza makali yak inga kuushambulia mwili bila kuishusha kinga ya mwili. Dawa hizi pia huzuia na kutibu vipele ambavyo husababishwa na ugonjwa huu. Mfano wa dawa hizi ni: Hydroxychloroquine sulfate (Plaquenil)
2- Dawa za maumivu, ambazo husaidia kupunguza homa, maumivu ya kichwa na maumivu ya viungo. Mfano wa dawa hizi ni: Ibuprofen (advil, motrin)
3- Dawa za kupunguza kinga ya mwili, dawa hizi hupunguza kinga ya mwili hivyo kupunguza makali ya kushambulia mwili hivyo kupunguza makali ya ugonjwa, mfano wa dawa hizi ni: cyclophosphamide na methotrexate.
Na kutibu kila dalili zitakazo jitokeza ipasavyo.

MPE pole mgonjwa, na mwambie amshirikishe Mungu kwenye maombi wakati huu mgumu kwake kwa maradhi. Pia mwambie mimi na familia yangu tutamuombea leo jioni wakati wa ibada kabla hatuja lala (kwa kufanya sala kwa wagonjwa).
Pamoja na hayo mimi binafsi ninamtakia pole na jioni njema, na Mungu ambariki sana....
 
Aisee hatari sana

Umeeleza vema mkuu
 
Back
Top Bottom