Naomba kujuzwa tiba ya ugonjwa wa Parkison

Kwanza tuambie umejuaje kana anaumwa huo ugonjwa?

Na kama atakuwa alipimwa na kubainika ana huo ugonjwa, waliompima walimshauri nini?

Na je alifuata ushauri wao?

Hebu tuanzie hapo kwanza
alikwenda agakhan hospital ndiyo wakasema ana tatizo hilo na kuambiwa mpka sasa hakuna tiba ya tatizo hilo kapatiwa dawa za kupooza tuu lakini siyo tiba kihivyo
 
Aghakhan ya wapi? Unajua JF members tuko nchi mbalimbali na mikoa tofauti na kote Aghakhan imo...
 
Huo ugonjwa hauna tiba ila tu unapatiwa dawa kudhibiti athari na dalili zake. Hivyo ningeshauri tu muangalie mambo ya dua au maombezi huenda yakasaidia kadri ya imani yako
 
Habari wa ndugu naomba msaada ndugu yangu amepatwa na ugonjwa wa parkison naomba kwa anayejuwa tiba au jinsi ya kumsaidia, nawakilisha kwenu tafadhali
Poleni sana. Ushauri wangu ni kuwa jaribuni vile vile ku-seek a second opinion from another specialist. Kuna magonjwa mengi yenye hizi dalili. Dr hata awe mzuri kiasi gani kuna wakati anaweza ku-overlook ugonjwa na akadhani ni ugonjwa fulani kumbe siyo. Hivyo jaribuni kutafuta specialist mwingine kutoka eg Muhimbili awape naye maoni yake.
 
Hongera mkuu kwenu mna pesa mpaka mnakua diagnosed na magonjwa ya wazungu

Literally Parkinsonism haina matibabu kamili isipokua hio palliative ambayo wataalam wamekupatia
poleni
 
Habari wa ndugu naomba msaada ndugu yangu amepatwa na ugonjwa wa parkison naomba kwa anayejuwa tiba au jinsi ya kumsaidia, nawakilisha kwenu tafadhali
Hauna tiba. Unajifunza tu kuishi nao na kufanya mazoezi maalumu ili uweze kuwa stable ila hauponi.
 
Parkinson disease ndio huo unaomsumbua Lowassa... Yaan ni kupooza kwa mishipa mbalimbali ya fahamu na kupoteza baadhi ya kumbukumbu.. tiba yake ni ghali Sana.. EL huwa anaendaga huko na almostly kila akienda huko sio chini ya ml 300 inamtoka..
 
Inamtoka au zinatutoka?
 
Back
Top Bottom