Msaada wa tatizo la mtoto wa jicho

Msaada wa tatizo la mtoto wa jicho

Wahi hospital tatizo Hilo linatibika kwa ukwanguaji Mkuu. Tena mda mfupi sana

Mkuu nasikia kuna ukwanguaji kwa kutumia mionz ndo safe zaidi vp ukweli upoje na gharama zake zipoje?
 
Mamkwe alikuwa na hili tatizo na Kuna wakati aliamini kalogwa lkn alienda hospital Kolandoto Shinyanga na alipona ndani ya siku chache. Kuhusu ukwanguaji uliotumika hapo sijui. Ila wanaanza na moja halafu baada siku chache wanamalizia. Kwa Sasa yuko vizuri sana
 
Kwani alikuwa anaumwa macho yote?
 
Vp ulifanikiwa kupata tiba ya asili ya mtoto wa jicho?
 
Back
Top Bottom