Baba Rayhaan
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 615
- 418
Nina tatizo la allergy kwa sababu nikipata vumbi tu napata mafua, pua zinawasha na macho pia, nikitumia dawa yoyote yenye priton naumia sana kifuani upande wa kushoto pamoja na mkono wa kushoto, nipo kwenye dozi ya hypertension natumia losartan H, nini yaweza kuwa shida? Maana sasa nashindwa kukontro allergy kwa sababu hiyo 😔.
Naombeni msaada
Naombeni msaada