Msaada wa swali la umri

The Book

JF-Expert Member
May 21, 2017
2,167
2,000
Umri wa Osaka ni 1/5 ya umri wa baba yake.Miaka 8 ijayo umri wa Osaka utakuwa 1/3 ya umri wa baba yake.tafuta umri wa baba wa sasa.
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
35,181
2,000
Umri wa Osaka ni 1/5 ya umri wa baba yake.Miaka 8 ijayo umri wa Osaka utakuwa 1/3 ya umri wa baba yake.tafuta umri wa baba wa sasa.
Let X = umri wa baba
Y = umri wa Osaka.

y = 1/5X.......(i)
y+8 = 1/3(X +8)......(ii)

put (i) to (ii)

1/5X + 8 = 1/3(X+8)......(iii)

8 = X/3+8/3 - 1/5X

8-8/3 = X/3 - X/5

16/3 = (2X)/15

16/3 × 15 = 2X

80 = 2X

40 = X

Umri wa sasa wa baba ni miaka 40.
 
Mama Debora

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
1,077
2,000
Let X = umri wa baba
Y = umri wa Osaka.

y = 1/5X.......(i)
y+8 = 1/3X......(ii)

put (i) to (ii)

1/5X + 8 = 1/3X......(iii)

8 = 1/3X - 1/5X

8 = (5-3)X
--------
15

8 = 2X
-----
15

8× 15 = 2X

120 = 2X

60 = X

Umri wa sasa wa baba ni miaka 60.
Fala umekosea equation (ii) hapo juu.
Ulitakiwa uongeze 8 kote kote (kwenye Y na kwenye X).

y + 8 = 1/3(X + 8)

Kisha ndio uendelee na calculation zingine chini.
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
35,181
2,000
Fala umekosea equation (ii) hapo juu.
Ulitakiwa uongeze 8 kote kote (kwenye Y na kwenye X).

y + 8 = 1/3(X + 8)

Kisha ndio uendelee na calculation zingine chini.
Tuition ya akina Debora naona iko faya hatari, ameweza kukutonya kosa langu fasta sana(kiding)
 
Wilinasi Petroleum

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
209
250
Umri wa Osaka ni 1/5 ya umri wa baba yake.Miaka 8 ijayo umri wa Osaka utakuwa 1/3 ya umri wa baba yake.tafuta umri wa baba wa sasa.
Njia.
Fikiria umri wa Baba = Z
Kwa hiyo umri wa Osaka=1/5 ya umri wa Baba = 1/5 ya Z= 1/5xZ=1/5Z
Miaka 8 ijayo umri wa Baba utaongezeka kwa miaka 8
Kwa hiyo
Umri wa Baba= Z+8
Kwa hiyo kipindi hicho umri wa Osaka
=1/3 ya Z+8=1/3(Z+8)

Tofauti ya umri wa Osaka baada ya miaka nane na kabla ya miaka nane ni sawa na 8
1/3(Z+8) -1/5Z=8
1/3Z+8/3-1/5Z=8
Zidisha na 3 kila upande
Z+8-3/5Z=24
Zidisha na 5 kila upande
5Z+40-3Z=120
2Z=120-40
2Z=80
Z=40
Kwa hiyo umri wa Baba wa Sasa ni miaka 40.
 
Wengine tumejaliwa vipaji vya kuelekeza na kuelewesha
 
Top Bottom