Kwanza Heshima kwenu wana Jamvi.
Kuna Tatizo la muda mrefu kwenye sim yangu na bado sijalipatia ufumbuzi
Nimekuwa kila nikitumiwa msg huwa inaweza kuingia zaidi ya hata mara tano
ikiwa ni ileile ya mwanzo.Mwanzoni nilijua ni watu wakinitumia msg huwa wanakosea
wanatuma msg1 zaidi ya mara moja ila baadae nikaja kugundua tatizo liko kwenye
sim yangu hii imekuwa kama kero kwangu mana mtu anawezakunitumia msg 1 ikaingia zaidi ya mara
5 na kwa wakati tofauti.Hii sio kwamba ni no 1 tu msg huwa inajirudi hapana ila msg zote zinazoingia kwenye sm
yangu huwa zinajirudia. Nimeleta hili tatizo hapa kwani inawezekana kuna watu walishakutana natatizo
kama hili wakalitatua au bado hivyo kwa wataalam wa haya mambo naomba msaada tafadhali
nifanyeje ili mtu akinitumia msg isiwe inajirudiarudia? Natumia Samsung Galaxy Poket
SHUKRANI KWENU WAKUU