Msaada wa sms kwenye Lg LU6200

Msaada wa sms kwenye Lg LU6200

JOAQUEM

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
2,020
Reaction score
1,673
Wakuu nina simu yangu aina ya Lg LU6200 version ya Korea tatizo lake ni kuwa ukitumiwa sms na number ambayo umeisave, sms hiyo haionyeshi jina ingawa contact imekuwa saved aidha kwenye simu au sim card...sms...huja...imedisplay...Anonymous....kwa anayejua solution la tatizo hili naomba msaada wenu
 
Mkuu naona tatzo hili ni common kwa simu zenye firmware ya korea hapa wamejaribu kuliongelea http://androidforums.com/threads/caller-id-not-working-shows-unknown.313433/...na hata mm limeshanikuta wakati natumia samsung note 2 yenye firmware ya korea...
Niliweza kulisolve kwa kubadili firmware toka ya korea hadi international firmware

mkuu ebu... nisaidie namna ya kunslate hii page LG Mobile : 다운로ë"œì„¼í„° kuna solution ilikuwa ikiongelewa na forum fulani so wakawa wamedirect solution hiyo kwenye hio page ya KIKOREA nimejaribu google crome na add ion za mozillar imeshindika....kutranslate
 
Nashukuru...mkuu..nimeweza...kusolve...tatizo.....nimeupgrade.....kwenda....4.1...
 
Back
Top Bottom