Msaada wa simu orijno Samsung

mathabane

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
2,405
Reaction score
1,900
Nahitaji kununua simu ya Samsung J7 hapo kesho.

Kabla ya kununua naomba mbinu ya kufahamu simu orijno maana maeneo hayo mi sina utaalamj.

Natanguliza shuleni zangu kwenu nikiamini wataalamu na wazoefu hamtaniacha.
 
Simple

1. Bonyeza *#06# kupata IMEI ya simu husika.

2. Tuma iyo IMEI kwenda 15090 buree.

3. Subiri majibu, itakwambia brand ya simu na model yake.
 
Simple

1. Bonyeza *#06# kupata IMEI ya simu husika.

2. Tuma iyo IMEI kwenda 15090 buree.

3. Subiri majibu, itakwambia brand ya simu na model yake.
Ahsante mkuu,
Ila kuna jamaa kanitisha eti hata feki sikuizi zinakubali úkituma hizo imei tcra.

Jé, hili lina Ukweli?
 
Ahsante mkuu,
Ila kuna jamaa kanitisha eti hata feki sikuizi zinakubali úkituma hizo imei tcra.

Jé, hili lina Ukweli?

Ni kwamba, kama unataka nunua iyo J7, utafanya mchakato huo juu, na majibu yaje: Simu unayotumia ni Samsung J7

Yaani tcra watataja kabisa aina ya simu na model yake, au sijaelewa swali lako?
 
Ni kwamba, kama unataka nunua iyo J7, utafanya mchakato huo juu, na majibu yaje: Simu unayotumia ni Samsung J7

Yaani tcra watataja kabisa aina ya simu na model yake, au sijaelewa swali lako?
Shuleni ,umenipatia mwanga
 
Ukitaka kujua vizuri ni original na ni Samsung fuata imei na hii quick test
  1. #*7353# inafanya kazi kwenye Samsung og tu na sio fake so hii code ikikubali unajua ni og na pia una test camera, sauti, mwanga na vingine pia.
  2. *#0*# kwa main test ipi ni vizuri kutumia huku unanunia Samsung phone
 
Shukrani kwako mkuu
 
Hapo ktk #*7353# pako sawa kiongozi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…