Msaada wa simu kujaa

Msaada wa simu kujaa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,955
Reaction score
104,303
Nilibonyeza kwa bahati kitufe cha whatsapp media VIDEO KWENYE GALLERY, na baadaye nikabonyeza KWA BAHATI kitufe cha HIDEN ALBUM. Sasa video zote za kwenye gallery hazipo na hivyo siwezi kuzifuta. Simu imejaa na ime jam. Nifanyeje kwenda kwenye HIDEN ALBUM nifute hizo video?
 
Mkuu kwanza ukifuta na gallery huwa hazifutiki video zote, kama member wa humu unatakiwa ujifunze kutumia file manager.

Nenda kwenye list ya application zako tafuta file manager inaweza kuitwa my files ama files mara nyingi huwa na picha ya folder.

Ingia kisha tafuta folder linaitwa whatsapp kisha whatsapp media kisha whatsapp video utaziona hapo video za whatsapp. Unaweza pia ku click sent utaona video ulizotuma na whatsapp, hazina maana zinajaza tu nafasi unaweza kuzifuta na hizi huwa hazionekani kwenye gallery kikawaida.

Alternative nenda playstore download gallery nyengine.
 
asante sana
 
Back
Top Bottom