Serikali ya Rais Samia Imetoa Bilioni 48 Kwa Mikoa 16 Kuanza Ujenzi wa Shule Mpya za Wasichana Kidato Cha 5&6

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,054
49,742
Mambo yanazidi kunoga.

Katika Kumkomboa mtoto wa kike Serikali ya awamu ya 6 ya Rais Samia iliahidi kujenga Shule ya A level Kwa Kila Mkoa ambapo awamu ya kwanza Mikoa 9 Ilipata pesa za kujenga Shule hizo..

Sasa Serikali imetoa Bilioni 48 Kwa Mikoa 16 Kuanza Ujenzi wa Shule Mpya Maalumu za Wasichana za Bweni Ili kuhakikisha Mtoto wa Kike Hapati vikwazo kwenye safari yake ya Elimu.Kila Mkoa Umepangiwa Bilioni 3.
Aidha ikumbukwe Serikali inaendelea na Utekelezaji wa Programu 2 za ujenzi wa Shule za Msingi(Boost) na Sekondari (Sequip) ambapo Maelfu ya shule Mpya zitajengwa Nchi nzima Kwa gharama ya zaidi ya sh.Tilioni 2.

1688922373681.png


My Take
Hongera Rais Samia Ulisema wewe ni Rais wa Vitendo sio Maneno.
 
Mfano wa shule ambazo zimejengwa na zingine zinaendelea na ujenzi kwenye Mikoa 9 ya awali

Tunduma-Songwe
FB_IMG_16878520508857185.jpg
FB_IMG_16877981528482583.jpg
FB_IMG_16877981598193222.jpg
FB_IMG_16878520346579554.jpg
 
Mama aelekeze na hili likatizamwe; ni hivi; aliyemuachia viatu vya uongozi amemuachia wanaolalamika kukosa ongezeko la mshahara kwa kutopandishwa vyeo walivyostahiki mnamo mwaka 2019, hao ni walioajiriwa mwaka 2014.
 
Mama tunapenda lakini ardhi ya Tanganyika imemkataa, hatuna namna ya kumsaidia! Wahenga walisema mali ikipelekwa sokoni isiponunulika hurudishwa nyumbani. Ni hayo tu kwa leo.
 
Back
Top Bottom