msaada wa sheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa sheria

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by congobe, May 31, 2012.

 1. congobe

  congobe JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  nimeshtakiwa na mpiga picha,baada ya mimi kumshtaki mahakamani kwa kosa la kuzidisha picha tofauti na mkataba wetu wakati huohuo ameuza picha bila idhini na analazimisha nimlipe pesa za picha alozidisha ameweka wakili tayari ,counter clame anadai 25ml kwa kudhalilishwa,wakati huohuo amekwisha wasilisha madai mahakamani kwamba hanitambui anamtambua wife wangu kwamba ndo alimlipa pesa ,wakati mkataba amesaini na mimi .wandugu mnaionaje hii ,istoshe niliwekwa lockup naye bila kufikishwa mahakamani ,naomba hoja zenu
   
 2. mka

  mka JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu ungechanganya maelezo haya na yale kwanza wadau wangekupa ushauri uliokamilika. Maana ushauri wa kisheria huwa unatolewa vizuri kama mtu akiwa ametoa facts (maelezo yote sio nusu). Je wewe uliweka wakili? Maana kukiwa na wakili upande wa pili na wewe huna wakili itakusumbua sana kama hufahamu sheria vizuri. Unaweza poteza kesi kwa techinicalities pia. Je ulimdai kiasi gani? Pia katika plaint yako ulipaswa kumdai fidia kwa kukuweka ndani (tort of false imprisonment). Pia angalia namna unavyoijibu hiyo counter claim usije ukakubali madai au ukajibu vibaya (evasive denial) hairuhusiwi kisheria. Uwe makini mkuu.
  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 3. congobe

  congobe JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  aksante mkuu kwa ushauri mzuri,nina wakili ndio ambaye nilimweleza issue jinsi ilivyo,na nilimpatia huyu deffendatdemand note inayodai fidia ya 6.1ml ndani ya 30 days iwe imejibiwa ,kabla ya 30 days kutimia akaanza mchakatowa kunitafuta nikamatwe na police japo nilikuwepo tu ,police wakaja home naye mwenyewe sikuwepo wakati huo,police wakanipigia simu kunitaka nifike kituoni ,nikawambia kwa issue ipi wakasema nimejipati fedha kwa njia ya udanganyifu,nikajibu mi sidaiwi ila case hiyo iko mahakamani tukaishia hapo , wakili wangu kuona hivyo kaomba kufupisha siku za kujibiwa ile demand note,akafungua mashtaka rasmi kutokana kitendo cha deffendant kuanza kutaka kunikamata kwa sababu nimekataa kumalizia kulipa pesa kwa picha alizozidisha,mwanzo nililipia nusu ya thamani ya picha kwa kuwa hakutaka kunipa picha zangu 100 hadi nilipie zote,kwa hivyo ukirejea maelezo ya awali tangu nilipokuwa kituo cha police walinitaka nimlipe tu japo makubaliano ktk mkataba ni picha 100 tu hizi 65 ni zimezidi,mkataba ulifanyika baada ya tukio na maelezo yangu mahakamani yameeleza kwamba tulikubaliana atoe picha 100 tu wakati huo hatukua na mkataba wa maandishi nilimwamini tu, baada ya kufungua case mahakamani akapata surmons akaja mahakamani kumbe kapanga deal na police navyotoka tu mahakamani nikakamatwa hadi police nikawekwa lock up badae dhamana nikatoka so hadi sasa sijafikishwa mahakamani baada ya kukamatwa ,ndo po sasa defendant katfuta wakili ndo kaja na counter clame ambazo wakili wangu ameziwekea pingamizi ,hii ni fact bila chenga maana najua kuwa wakili anafanyia kazi kile unachomweleza .
   
Loading...