lubano
Member
- Aug 28, 2016
- 5
- 1
Nina ndugu yangu yupo zero yapata siku ya 8 sasa kwa kutuhumiwa kwa kosa LA wizi wa kimtandao ambapo imekuja kufahamika kuwa yeye alinunua simu ambayo inasadikika ilifanya kosa hilo..mlalamikaji amesema aliomuibia anamtamvua mwizi wake na si huyu waliomkamata polisi wamegoma kumpeleka mahakamani na dhamana hawataki kutoa wanadai rushwa mwenye kufahamu masuala ya sheria unaombwa Msaada wako kwa hili yupo ndani kwa zaidi ya wiki sasa