Msaada wa Sheria za Utumishi kuhusu uhamisho

agatthi

Member
Apr 13, 2016
55
125
Nina miaka miwili katika utumishi wa Umma & nimethibitishwa kazini. Nahitaji kuhama kutoka mkoa X kwenda mkoa Y? Je sheria na kanuni za utumishi zinasemaje? Zinaruhusu au kuna kanuni inayomtaka mtumishi akae kituo kimoja muda gani kabla hajaomba kuhama?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom