Msaada wa settings

sodeely

Senior Member
Oct 3, 2011
187
117
Nina camera yangu aina ya Nikkon lakini nikipiga picha haziendi kwenye memory card, pia haitoi flash light..
Naomba kwa anayejua anisaidie nifanye nini..
 
SOMA User Guide VIZURI HAPO UTAPATA UFUMBUZI WA TATIZO LAKO
 
kama huna user guide karibu, google camera yako (model)
ikikuzingua bado, ni pm
 
Nina camera yangu aina ya Nikkon lakini nikipiga picha haziendi kwenye memory card, pia haitoi flash light..
Naomba kwa anayejua anisaidie nifanye nini..

model ni gani? Afu ukiweka Card what happns
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom