chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,981
*** off ...wewe ndio ulianza kushobokaPita hivi
*** off ...wewe ndio ulianza kushobokaPita hivi
Seems you need a ban son, mods they're just watching your moves. Keep moving**** off ...wewe ndio ulianza kushoboka
oy usibishane na huyo primitive yeye anaijua hiyo hiyo idm sasa hv kunaprogram mpya za kijanja za kudownlodia nyingi tu yeye anaangaika ku crack idmPita hivi
Asante kwa kunisaidia. IDM Is best. Watoto wajuzi hawa mwanangu wanatoka povu kwa kutetea vi add-ons vipya vipya. IDM Naikubali mno ktk simu NATUMIA ADM iko poa kama IDM ila ni devs tofauti ila seems wametumia same method ktk kutengeneza hizi software.IDM ni the the best wana hii file segmentation and safe multipart downloading
technology hapa acceleration inakua kari sana huez fananisha na watoto wajuz hawa... Kama umewah kutumia IDM utakua unaelewa
Telegram? Stopukishindwa nitumie telegram contact ako nikutumie.
kiingereza shida kwangu mkuu. sijakuelewa aiseeTelegram? Stop
Come again. Stop
Telegram.Stop
How do you mean Telegram?Stop
Telegram ndio mfumo wa mawasiliano wa mwanzo kabisa kabla ya mawasiliano kwa simu za mezani. Ndio maana ajabu kuuliza telegram contact (enzi za email, sms, whatsup) ambayo kiuhalusia ni Sanduku la posta.kiingereza shida kwangu mkuu. sijakuelewa aisee
oh..! asante kwa kuniongezea knowledge mkuu.Telegram ndio mfumo wa mawasiliano wa mwanzo kabisa kabla ya mawasiliano kwa simu za mezani. Ndio maana ajabu kuuliza telegram contact (enzi za email, sms, whatsup) ambayo kiuhalusia ni Sanduku la posta.
ok......Cjainstall hyo app in my phone
mkuu ushapata serial key za IDM? Nami naomba mkuu kama umepataTayari mkuu nimeistall telegram in my phone ntakutumia namba PM
File linapoanza kudownload ni vizuri ukacheki resume capability kama iko yes au no. File ambazo huwa zinagoma mara nyingi tatizo huwa limetoka kwenye website husika ulikopakua file. IDM ina option ya kurefrest link ya file lako na hii inasaidia sana zile file zinazokata zikifika katikati au mwishoni.IDM program ya kipuuzi sana, kwanza uki update ni majanga, pili ukiwa una dowload inaweza ikafika 99% ikafeli na ikala kwako, pia inaweza ikawa inadowload video ambazo hujadhamiria..haina lolote
kuna program nyingi zenye features nzuri kuliko za idm na simple kutumia na ku update