Naomba msaada juu yaa Internet Download Manager (IDM)

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
1,539
1,399
Heshima yenu wana jamvi, naomba msaada juu yaa Internet Download Manager (IDM). nimekuwa nikitumia hii program ya kupakuwa vitu kwenye pc yangu sasa imegoma na kuniomba niinunue, je nawezaje kupata free (unlocked) IDM? Mwenye huu ujuzi anisaidie maana nakosa kufanya mengi. Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Download patch file iliyokuwa Unlocked with serial key

Or

Hack Manually

Ingia Google search (Idm free serial keys)
Zicopy katik document panel na usev as document.

Zima data..

Fungua idm yako.. Ingiza zile serial codes katik eneo lake

Kuhusu names and other things unawez kulipua tu kuandik maneno yoyote au erufi tu..

After zat process bonyeza ok.. Itasem in a connect online , ikancancell process yote.. Alaf ifungue UPYA IDM itakuwa tayr unlocked.. Ila messages zitakuj kuwa umeingiza idm fake.. Ila utadownload Files kadri uwezavyo

Note; UKIZIMA PC Basi itabid uanze UPYA

Hakikisha UMEZIMA INTERNET before huja hack manually

Sent using Jamii Forums mobile app
 
INTERNET DOWNLOAD MANAGER CRACKED IDM - 5.9MB

http:// fileml.com/l/0574i
 
Back
Top Bottom