daniel danya
Member
- Aug 21, 2014
- 71
- 2
Naomba msaada jins ya kuapata screen shoot kwenye cm angu huawei y 330 ascending plz na je ina uwezo wa kuwa na hiyo kitu

Same problem but me i use huawei ascend y 300, tunaomba msaada jaman mi huwa napiga lakin sielew nashika wap
The same. Hakuna tofauti. Fuata hayo maelekezo hapo juu.
Bonyeza kwa pamoja VOLUME DOWN + POWER BUTTON kwa pamoja, kwa sekunde 1 - 2 hivi.
Utafanikiwa kupata screen shot