Msaada wa sabufa ipi nzuri

Msaada wa sabufa ipi nzuri

naomba wataalam wa vitu hivi mnisaidie sabufa gani ni nzuri quality ina equilizer, base yani vile vitu vyote vizuri, niliwahi kuuliza humu sikupata majibu mazuri nimeenda kununua latech yani likubwaaa zuri la sura sh 170,000. halina sauti halina equilizer , hamna bloototh yani hovyo kabisa afu kuna siku spika hazitoi sauti kuna siku zinatoa yani hovyo, nisaidie anae jua nzuri
Wakati unanunua hukuulizia sifa zake mfano uwepo wa blue tooth na haukujaribisha?
 
Back
Top Bottom