Habari wakuu wa Gadgets
Ndugu yangu amesahau namna ya kuingiza pattern kwenye simu yake hivyo anashindwa kuitumia.
Naombeni msaada afanye nini ili aweze kuifungua tena simu yake.
Kaogopa kupeleka kwa mafundi kwanza nahitaji msaada wenu wadau.
- Start by turning off your Xperia Z;
- Now press and hold the Volume Up and Volume Down buttons. Keep these two buttons pressed in the same time and then also press and hold the Power button;
- Youll immediately see the menu on the screen. Navigate to the recovery option with Volume Up and Down buttons and select the recovery option by using the Power button;
- After seeing the Android logo on the screen you must press and hold the Volume up and Volume down buttons, which will bring your Xperia Z to the recovery menu.
- Select Wipe data/Factory reset;
- The process will be completed in less than a minute and your smartphone will restart automatically.
Mkuu nimejaribu kufanya hivyo hakuna response!
- Start by turning off your Xperia Z;
- Now press and hold the Volume Up and Volume Down buttons. Keep these two buttons pressed in the same time and then also press and hold the Power button;
- You'll immediately see the menu on the screen. Navigate to the recovery option with Volume Up and Down buttons and select the recovery option by using the Power button;
- After seeing the Android logo on the screen you must press and hold the Volume up and Volume down buttons, which will bring your Xperia Z to the recovery menu.
- Select ‘Wipe data/Factory reset';
- The process will be completed in less than a minute and your smartphone will restart automatically.
inawezekana kubonyeza hata kwenye huawei ascend unafanya hivyo ukitaka kuupdate au kupata bootloader codeHivi inawezekana kupress vol up na down kwa pamoja?
Sidhani, nashauri ajaribu kupress vol up na power buttons kwa pamoja ili kupata menu. Ikipatikana tumia vol button kuchagua item unayokusudia na hapa chagua factory reset Kisha bonyeza power kama ok. Simu itareset na kuzima na kuwaka. Itarudi kama mpya kisha akaunti utatengenezwa upya.
Kama inagoma tumia vol down na power kwa pamoja kwa nguvu. Nadhani hii itasaudia.