Msaada wa namna ya kuunganisha simu aina ya bb 9780 kwenye net

MPINGE

Member
Apr 20, 2013
43
4
Ndugu zangu wana jf, mie nina simu aina ya blackbery 9780 na ningependa kutumia katika internet lakini nachemka namna ya kuunganisha, nawaombeni mnitoe porini ili nije barabarani tafadharini sana.
 
Nakushauri tumia BB internet! Ambapo mtandao husika utakupa maelekezo ya jinsi ya kuunganishwa
 
Kwa kifupi simu za zamani za BB inabidi ununue Blackberry Bundle (BIS), hazitumii bundle za kawaida za mtandao. e. Voda piga *149*01# chagua Internet kisha chagua Blackberry ununue bundle ya Blackberry. Ni similar kwa mitandao mingine.
 
nawashukuru kwa ushauri bandugu zangu.
 
Back
Top Bottom