Ndugu zangu wana jf, mie nina simu aina ya blackbery 9780 na ningependa kutumia katika internet lakini nachemka namna ya kuunganisha, nawaombeni mnitoe porini ili nije barabarani tafadharini sana.
Kwa kifupi simu za zamani za BB inabidi ununue Blackberry Bundle (BIS), hazitumii bundle za kawaida za mtandao. e. Voda piga *149*01# chagua Internet kisha chagua Blackberry ununue bundle ya Blackberry. Ni similar kwa mitandao mingine.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.