Msaada wa namna ya kusoma vitabu online

fsm

Member
Mar 2, 2017
11
2
Wadau habarini za kwenu

Plz naomba mnisaidie namna ya ku- Google na kusoma vitabu mbalimbali online lakini pia namna nitakavyoweza kupata free e- books ....msaada tafadhali
 
tumia hii website kupata vitabu

filechef.com

ingia chagua ebook then search, itakuja Google custom search yenye website za vitabu zisizo na longo longo.

kuna vitabu vya format mbali mbali kama pdf, epub, txt etc

unatumia kifaa gani kusomea? pc au simu?
 
Natumia pc mkuu
 
mkuu hii imenisaidia na mimi ubarikiwe sana...
 
tumia hii website kupata vitabu

filechef.com

ingia chagua ebook then search, itakuja Google custom search yenye website za vitabu zisizo na longo longo.

kuna vitabu vya format mbali mbali kama pdf, epub, txt etc

unatumia kifaa gani kusomea? pc au simu?
Simu
 
Sawa. Ni website gani ambayo naweza kupata vitabu vingi vya kiingereza vya bure?
Vitabu vya stori, siasa, n.k
na hio app ya prestigio ereader kipo kitabu One Thousand and One Nights bure kwenye store yao, tengeneza acount kipakue
 
Oongeza nyama

Vitabu gani

Eg
Laws
University
PR
Secondary
Advance
Love
Financial books

Hapo ndo tutajua tukusaidiaje
 
Back
Top Bottom