Msaada wa modem

Albert lema

Member
Aug 15, 2012
10
0
Nimenunua universal modem 3.5g, 7mb/s (Jumbo)nikichagua hsdpa network inaconnect vizuri lakini shida yake inapata moto sana. Naomba msaada wenu wadau niweze kutatua tatizo hili.
 
Mkuu nami nina tatizo na modem yangu. Awali ilikuwa inaunga ila sasa inapata moto sana na haikubali tena kuunga net. Wataalamu tujuzeni kama ndo ishaungua niitupe au kuna jinsi ya kuitengeneza?
 
Mkuu ni Huawei-Model K3765.
Kuna ujanja wowote wa jinsi kuitengeneza au kuitupa tu ndo kilichobakia?
 
Yaah ina chapa ya vodafone mkuu rickymj

Ndio tabia zake hizo
Ikipata sana moto na ukiigusa ikapinda au kushtuka wakati ipo moto basi inasababisha modem kupata madhara ambayo si rahisi mafundi kutengeneza
 
Last edited by a moderator:
Nashkuru mkuu Mayu kwa kushare uzoefu wako katika hili
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom