Msaada wa mbinu ya kuruka Mtego

Msaada wa mbinu ya kuruka Mtego

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
9,759
Reaction score
15,568
Iko hivi wadau, kuna Manzi mimi nilikua namuimba..

Karuka, na kudai tuwe marafiki.

Nikaforce sana huo urafiki badae nikakata tamaa alikua anakwepa tusionane.

Zilipopita kama week tatu, nikampandia hewani tena, kubembeleza, nikaona respond ipo kidogo

Sasa Leo nimeenda kwake Manzi, na alinipanga kuwa kichwa kinamuuma katoka hospital, kufika geto kwake nakuta wapo wawili yeye na dada yake....

😁🙂‍↕️🙂‍↕️🙂‍↕️🙂‍↕️

Nimepiga nao story wote vizuri tu, sasa Muda huu nimewahaga nafata charger yangu ya simu na Mapocho pocho.

Oya nipeni ushauri Maamuzi Magumu hapa ni yapi ? nirudi kusalandia ? Na sijahakikishiwa bado mahusiano kama kanikubalia. 🥴
 
Watoto wa Efu mbili akili hamna....apo hupati kitu wewe rudi home kwa Mama home ucheze Ps apo Sebuleni ndio mnachojua kwa usahihi.
 
Unatuaibisha wanaume, umekaa wiki tatu bila kumtafuta ni kiherehere gani kilikufanya umtafute?

Ni wazi kabisa kua hauna msimamo demu ameshakuona boya,fala fulani

Tuliza makalio hayo acha kuangaika na demu ambae ameshakutaa, kukataliwa si mpaka uambiwe kua hakutaki

Acha ufala Dogo
 
Nimekuelewa braza
 
FB_IMG_17258646499763735.jpg
 
Tales of the low lives
wengine sisi ukitudanganya tu, we start to seeking for revenge.
Mpunguzage uwongo na nyie wanawake, kama wachawi.
Mahusiano ya kuvutana vutana toka mwanzo huwa hayadumu
 
Oya nipeni ushauri Maamuzi Magumu hapa ni yapi ? nirudi kusalandia ? Na sijahakikishiwa bado mahusiano kama kanikubalia. 🥴
Dogo una umri gani😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom