Msaada wa mawazo

Msaada wa mawazo

why unusuru? nyinyi kunywa na kula na michango ni muhimu kuliko wenzenukuingia mkenge?
the brest cha kufanya ni kusogeza mbele ili muwape muda wa kutafta suluhu,ikishindikana basi

Hapa sioni dalili za ndoa tena. Linapokuja swala la usaliti na kama ingekuwa ni mwanamke ndio ka salitiwa suluhu ingepatikana na maswala ya ndoa yangeendelea.
Uamumizi aliyo uchukua jamaa unachuliwa na wanaume walio wengi.

Hapa hakuna ndoa tena na michango warudishiwe maana ni wanaume wachache wanaweza rudi nyuma kwenye chili.
 
sogezeni mbele muangalie upepo unavuma kwenda magharibi au mashariki hapo ndo mtapata majibu ya maswali yenu.
 
kwa kweli hapo inaaminika " once a traitor always a traitor" over!!!!!!
 
Hiki ni kipindi kigumu sana.....binti aendelee kukataa kuwa hamfahamu lakin aombee msamaha coz imetokea kwenye cm yake na hata yeye mwanaume inaweza mtokea.

Hiyo ndoa ikipeperuka katika misingi hiyo ya binti kuonekana si mwaminifu basi kuolewa kwake itakuwa historia

wadada bwana!! sijui mawazo yenu yakoje. mnachowaza nyie ni kuvaa shela, kuonekana mmeolewa na kuozesha basii!!! huwa hamjali kabisa furaha ya watu kwenye hiyo ndoa.

usikute hata hii wanaolazimisha ni kina mama na dada. madingi yako pembeni yanakunywa ndovu.

sio wanawake wote ni wa kuolewa na sio wanaume wote wanafaa kuoa. acheni kulazimisha mambo.
 
why unusuru? nyinyi kunywa na kula na michango ni muhimu kuliko wenzenukuingia mkenge?
the brest cha kufanya ni kusogeza mbele ili muwape muda wa kutafta suluhu,ikishindikana basi

Hiyo ni kama UKAWA na TZ Kwanza!..
 
Kitendo cha mwanamke kufanya kosa nikamwambia afu akakataa wakati ni kweli HUWA NASIKIA KUTAPIKA, Inaonekana huyo mdogo wako ana tabia mbaya , sio kila mwanamke huwa anatakiwa kuolewa rudisheni michango ya watu.

Mimi huwa nahisi KUHAR*SHa,..kinomanoma!..
 
kuna dada mmoja walikuwa jirani huko nyumbani. alishawahi kuzalishwa akiwa shule na bahati nzuri/mbaya akapata jamaa wa kumuoa ambaye anaishi dar. siku moja kabla jamaa hawajaja kutoa mahali demu alilala kwa mshikaji mwingine kumuaga.!

alivyoolewa hakukaa hata mwaka yuko nyumbani mpaka leo anaendelea kuishi na mama yake.
 
Hii ni proof tosha kuwa wadada wengi miaka hii wanaolewa na watu wasiowapenda kwa dhati, wanaolewa ili kuvaa shela na gauni.

Kudos kwa huyo jamaa, mtu akishakudanganya hasa kwa swala la infidelity unatakiwa kuwa na maamuzi magumu.
 
wadada bwana!! sijui mawazo yenu yakoje. mnachowaza nyie ni kuvaa shela, kuonekana mmeolewa na kuozesha basii!!! huwa hamjali kabisa furaha ya watu kwenye hiyo ndoa.

usikute hata hii wanaolazimisha ni kina mama na dada. madingi yako pembeni yanakunywa ndovu.

sio wanawake wote ni wa kuolewa na sio wanaume wote wanafaa kuoa. acheni kulazimisha mambo.

Kuolewa ni sheria na heshima kwa mwanamke hilo halina ubishi.........Zitawekwa thread za kukashifu lakin ukweli upo palepale.Binti anapochumbiwa na taratibu zote kufuatwa kama posa /mahari basi mategemeo ya watu ni kushuhudia ndoa.Ndoa inapopeperuka kwa sababu za binti kuonekana si mwaminifu basi doa kubwa kwake.
 
Hiki ni kipindi kigumu sana.....binti aendelee kukataa kuwa hamfahamu lakin aombee msamaha coz imetokea kwenye cm yake na hata yeye mwanaume inaweza mtokea.

Hiyo ndoa ikipeperuka katika misingi hiyo ya binti kuonekana si mwaminifu basi kuolewa kwake itakuwa historia

You hit de point
 
Mnaumiza kichwa na nyie sio waolewa??? Au n hizo gharama
 
Kwa tabia hizi watu watapigwa chini sana.

Mwambie mdogo wako amlete huyo dr ajitambulishe home sio kumega tu haf anakaa pembeni.
 
Daaah mshikaji amenusurika kumuoa kimeo palibakia padogo.....mwambie ndugu yenu na mumuandae kisaikolojia kua ndoa ni mpango wa Mungu asubirie tu itakuaje
 
Back
Top Bottom