Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,926
- 77,191
NakaziaAjira siku za hivi karibuni limekuwa janga la taifa, lakini kila mja na hatima yake hakuna anayejua. Aende akasome tu kwa bidii afaulu vizuri. Ajira kila fani siku hizi ni changamoto ingawa zipo fani zenye unafuu.
Ajira Ni Tete